TUKIMTEGEMEA MUNGU TUTA SHINDA MAJARIBU
"Ee Bwana MUNGU nukuomba UKANITIE NGUVU MARA HII TU.
Waamuzi 16:19-21,28-30
Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake akaanza kumsumbua nguvu zake zikamtoka.
Kisha akasema, Samsoni wafilisti wanakujia. Akaamka katika usingizi wake, akasema, Nitakwenda nje kama siku nyingine, na kujinyosha. Lakini hakujua ya Kuwa Bwana amemwacha.
Wafilisti wakamkamata, wakamng'oa macho; wakatelemka naye mpaka Gaza, wakamfunga kwa vifungo vya shaba; naye alikuwa akisaga ngano katika gereza.
Samsoni akamwita BWANA, akasema Ee Bwana MUNGU, unasumbuka, nukuomba, ukanitie nguvu mara, nukuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.
Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba Ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wakuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
Samsoni akasema; Na nife pamoja na hawa wafilisti. Akainama kwanguvu zake zote; Ile nyumba ikawangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwamo ndani yake. Basi wale watu aliowauwa wakatiwakufa kwake ni wengi kuliko wale alio wauwa wakati wa uhai wake.

Samsoni mnadhili wa Mungu anaagukia mikononi mwaadui kisha adui anamfarakanisha narafiki yake mpendwa ambaye ni Mungu kisha adui anachukua nafasi katika maisha yake nakufanya vileyeye apendavyo na apendavyo adui kwetu nimaumivu, uchungu, taabu, dhiki, aibu, n.k
Samsoni alipitia wakati mgumu wenye dhiaka, kejeri, nakufanywa mtumwa
Ukifanya dhambi hufanywa kuwa mtumwa tena mtumwa kweli kweli
Yale mateso na maumivu Samsoni aliyapata yalitengeneza uchungu ndani yake hili nlinadhihirika katika kuomba kwake Samsoni anapo sema kuwa anataka kulipa kisasi juu ya wafilisti
Hasira ya Mungu nijuu ya Wafilisti kusema kuwa Dagon ni mungu na hichondicho kilichofanya atupenguvu Samsoni sawa na alivyo omba
NITIE NGUVU MARA HII TU
Peter's Story: Coming to Christ
Peter, the fisherman-disciple, embarked on a lifetime journey with Jesus Christ. We can do the same.
Their small fishing boat was being battered about in the stormy Sea of Galilee. Suddenly, out of the darkness emerged a shadowy figure. Incredibly, the phantom seemed to be — yes, it was — walking on the water toward them.
...Continue reading
Check in YouTube as Baraka Tumaini Kaskas and also you may like the Facebook fan page "Baraka tumaini Kaskas"for more update and info
0:00
Lord Jesus call me to tell the world the truth about him so in the villages, towns and cities am Ready to do so
Comments
John Baraka
John Baraka Gd bariki lawi
John Baraka
John Baraka Kwani unamjua tazama avo uto mda wake na kuifanya kaxi yako bariki sana huyo baba
Lawi Henry Mwandisi
Write a comment...
Lawi Henry Mwandisi updated the description.
THERE IS ONE BODY,AND ONE SPIRIT, EVEN AS YOU WERE CALLED IN ONE HOPE OF YOUR CALLING
ONE LORD, ONE FAITH, ONE BAPTISM,
ONE GOD AND FATHER OF ALL, WHO IS ABOVE ALL, AND THROUGH ALL, AND IN YOU ALL
Comments
Lawi Henry Mwandisi
Lawi Henry Mwandisi Say what you filling due to this post
Lawi Henry Mwandisi
Write a comment...
Amani ya Kristo Inawezaje Kudhibiti Mioyoni Mwetu?
“Acheni amani ya Kristo idhibiti mioyoni mwenu, kwa maana nyinyi, kwa kweli, mliitiwa hiyo katika mwili mmoja.”—WAKOLOSAI 3:15.
1, 2. Ni katika njia gani “amani ya Kristo” inadhibiti moyoni mwa Mkristo?
NENO dhibiti linachukiwa na watu wengi, kwa kuwa linatufanya tufikiri juu ya kudhulumiwa na kutendewa vibaya. Kwa hiyo, huenda himizo la Paulo kwa Wakristo wenzake huko Kolosai, “Acheni amani ya Kristo idhibiti mioyoni mwenu,”...
Continue reading
REMEMBER YOUR CREATOR IN THE DAYS OF YOUR YOUTH. BEFORE HE DAYS OF TROUBLE COME AND THE YEARS APPROACH WHEN YOU WILL ECCLESIASTES 12:1
YOUTH YOUR VERY IMPORTANTE IN THE CHURCH
1TIMOTHY 4:12
Let no man despises the youth, but be thou an example of the believers, in word, in conversation, in charity, inspirit, in faith, in purity.
“Let no man despise your youth” as the youth you have to show in all things that your pattern of good works; in doctrine showing integrity, reverence...
See more
May God continue teaching us
Comments
Lawi Henry Mwandisi
Lawi Henry Mwandisi What are you understand on this
Lawi Henry Mwandisi
Write a comment...
Lawi Henry Mwandisi updated the description.
WE ARE ALL THE CRUSTY WORRIES WE HAVE TO KNOW ALL TECHNIC WHICH EVIL US
We are the best of luck to our God we have to be able to make sure that the FORT didn't decline
You can be found in a bad place but if you are with crusty you are now available and good

Comments

Popular posts from this blog

Final judgment